2 Chronicles 15:4
Lakini katika taabu yao walimrudia Bwana, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 3:9Waisraeli walipomlilia Bwana, yeye akawainulia mwokozi, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu, ambaye aliwaokoa.
2 Chronicles 15:15Yuda wote wakafurahia kile kiapo kwa sababu walikuwa wameapa kwa moyo wao wote. Wakamtafuta Mungu kwa bidii, naye akaonekana kwao. Kwa hiyo Bwana akawastarehesha pande zote.
Psalms 106:44Lakini akaangalia mateso yao 2 wakati aliposikia kilio chao; 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1
Isaiah 65:1“Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia. 2 Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 1 Kwa taifa lile ambalo halikuliita Jina langu, 2 nilisema, ‘Niko hapa, niko hapa.’ 1
Hosea 14:1Rudi, ee Israeli, kwa Bwana Mungu wako. 2 Dhambi zako zimekuwa 2 ndilo anguko lako! 1