Isaiah 65:1
“Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia. 2 Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 1 Kwa taifa lile ambalo halikuliita Jina langu, 2 nilisema, ‘Niko hapa, niko hapa.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.
Isaiah 41:27Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, 2 ‘Tazama, wako hapa!’ 2 Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema. 1
Isaiah 45:22“Nigeukieni mimi, nanyi mkaokolewe, 2 enyi miisho yote ya dunia; 1 kwa maana mimi ndimi Mungu, 2 wala hapana mwingine. 1
Isaiah 63:19Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, 1 kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.
Zechariah 2:11“Mataifa mengi yataunganishwa na Bwana siku hiyo, nao watakuwa watu wangu. Nitaishi miongoni mwenu nanyi mtajua kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu.