The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 16 › 2 Chronicles 16:6

2 Chronicles 16:6

Ndipo Mfalme Asa akawaleta watu wote wa Yuda, nao wakachukua mawe na miti ambayo Baasha alikuwa anavitumia huko Rama. Kwa vitu hivyo akajenga Geba na Mispa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Asa the king took all Judah; and they carried away the stones of Ramah, and the timber thereof, wherewith Baasha was building; and he built therewith Geba and Mizpah.

In Context

5Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha kujenga Rama na kuacha kazi yake.

7Ikawa wakati huo mwonaji Hanani akamjia Mfalme Asa wa Yuda na kumwambia: “Kwa sababu ulimtegemea mfalme wa Aramu nawe hukumtegemea Bwana Mungu wako, jeshi la mfalme wa Aramu limeponyoka mkononi mwako.

Read all of 2 Chronicles 16

Cross References

Joshua 15:38Dileani, Mispa, Yoktheeli,

1 Samuel 7:6Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za Bwana. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana.” Naye Samweli alikuwa kiongozi + 7:6 Kiongozi hapa maana yake mwamuzi. wa Israeli huko Mispa.

1 Samuel 10:17Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Bwana huko Mispa,

1 Chronicles 6:60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1 Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.

Isaiah 10:29Wanavuka kivukoni, nao wanasema, 2 “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” 1 Rama inatetemeka; 2 Gibea ya Sauli inakimbia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 16:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 16:52 Chronicles 162 Chronicles 16:7 →