2 Chronicles 18:12
Mjumbe aliyekuwa amekwenda kumwita Mikaya akamwambia, “Tazama, manabii wote kama mtu mmoja wanatabiri ushindi kwa mfalme. Neno lako na likubaliane na lao, nawe unene mema kuhusu mfalme.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, nitamwambia kile tu Bwana atakachoniambia.”
Cross References
Joshua 9:2wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.
Psalms 10:11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau, 2 huficha uso wake na haoni kabisa.” 1
Hosea 7:3“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, 2 wakuu wao kwa uongo wao. 1
Micah 2:6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1
1 Corinthians 2:14Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni.