Yoshua 9:2
wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That they gathered themselves together, to fight with Joshua and with Israel, with one accord.
In Context
3Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
Cross References
Joshua 10:5Ndipo hao wafalme watano wa Waamori, ambao ni wafalme wa Yerusalemu, Hebroni, Yarmuthi, Lakishi na Egloni, wakaunganisha majeshi yao. Wakapanda na vikosi vyao vyote, nao wakajipanga dhidi ya Gibeoni na kuishambulia.
Joshua 11:5Wafalme hawa wote wakaunganisha majeshi yao na kupiga kambi pamoja kwenye Maji ya Meromu, ili kupigana dhidi ya Israeli.
2 Chronicles 20:1Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.
Psalms 83:2Tazama watesi wako wanafanya fujo, 2 jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 1
Proverbs 11:21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, 2 bali wenye haki watakuwa huru. 1
Isaiah 8:12“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, 2 usiogope kile wanachokiogopa, 2 wala usikihofu. 1