bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 19 › 2 Chronicles 19:9
2 Chronicles 19:9
Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he charged them, saying, Thus shall ye do in the fear of the LORD, faithfully, and with a perfect heart.
In Context
8Pia huko Yerusalemu, Yehoshafati akaweka baadhi ya Walawi, makuhani na viongozi wa jamaa za Waisraeli ili kutoa hukumu kwa ajili ya Bwana na kuamua magomvi. Nao waliishi huko Yerusalemu.
10Katika kila shauri lifikalo mbele yenu kutoka kwa ndugu zenu wale waishio katika miji, ikiwa ni la umwagaji wa damu au mambo mengine yahusuyo sheria, amri, hukumu au maagizo, inawapasa ninyi kuwaonya kwamba wasiingie katika hatia dhidi ya Bwana, la sivyo ghadhabu yake itakuja juu yenu na ndugu zenu. Tendeni hivyo, nanyi hamtatenda dhambi.
Read all of 2 Chronicles 19
Cross References
2 Samuel 23:3Mungu wa Israeli alinena, 2 mwamba wa Israeli akaniambia: 1 ‘Mtu anatawala watu kwa haki, 2 wakati anapotawala 2 akiwa na hofu ya Mungu, 1
2 Chronicles 19:7Basi sasa hofu ya Bwana na iwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa Bwana Mungu wetu hakuna jambo lisilo la haki, upendeleo, wala rushwa.”
Isaiah 32:1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 19:9