Isaiah 32:1
Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, a king shall reign in righteousness, and princes shall rule in judgment.
In Context
Cross References
2 Chronicles 31:20Hivi ndivyo Hezekia alivyofanya katika Yuda yote, akifanya lile lililo jema, sawa na la uaminifu mbele za Bwana Mungu wake.
Psalms 45:6Ee Mungu, kiti chako cha enzi 2 kitadumu milele na milele, 1 fimbo ya utawala wa haki 2 itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. 1
Psalms 72:2Atawaamua watu wako kwa haki, 2 watu wako walioonewa kwa haki. 1
Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1
Isaiah 28:6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1