Kumbukumbu 32:36
Bwana atawahukumu watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake 1 atakapoona nguvu zao zimekwisha 2 wala hakuna yeyote aliyebaki, 2 mtumwa au aliye huru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1
Cross References
Exodus 32:14Kisha Bwana akawaonea huruma, wala hakuleta juu ya watu wake maafa aliyokuwa amekusudia.
Judges 2:18Kila mara Bwana alipowainulia mwamuzi, Bwana alikuwa pamoja na huyo mwamuzi, naye aliwaokoa kutoka mikononi mwa adui zao kwa kipindi chote alichoishi yule mwamuzi. Kwa kuwa Bwana aliwahurumia kwa sababu ya kilio chao cha huzuni kwa ajili ya wale waliokuwa wakiwatesa na kuwataabisha.
1 Kings 14:10“ ‘Kwa sababu ya hili, nitaleta maafa juu ya nyumba ya Yeroboamu. Nitakatilia mbali kutoka kwa Yeroboamu kila mzaliwa wa mwisho wa kiume katika Israeli, mtumwa au mtu huru. Nitachoma nyumba ya Yeroboamu mpaka iteketee yote kama mtu achomaye kinyesi.
2 Kings 9:8Nyumba yote ya Ahabu itaangamia. Nitamkatilia mbali kila mzaliwa wa kiume wa Ahabu katika Israeli, aliye mtumwa ama aliye huru.
Psalms 7:8Bwana na awahukumu kabila za watu. 1 Nihukumu Ee Bwana, 2 kwa kadiri ya haki yangu, 1 kwa kadiri ya uadilifu wangu, 2 Ewe Uliye Juu Sana. 1
Psalms 90:13Ee Bwana, uwe na huruma! Utakawia hata lini? 2 Wahurumie watumishi wako. 1