2 Chronicles 28:16
Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
At that time did king Ahaz send unto the kings of Assyria to help him.
In Context
17Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Cross References
2 Kings 16:5Kisha Resini mfalme wa Aramu na Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli wakaondoka kwenda kupigana dhidi ya Yerusalemu na kumzunguka Ahazi kwa jeshi, lakini hawakuweza kumshinda.
Isaiah 7:17Bwana ataleta juu yako, juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako wakati ambao haujawahi kuwako tangu Efraimu alipojitenga na Yuda: yeye atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”
Jeremiah 2:18Sasa kwa nini uende Misri 2 kunywa maji ya Shihori? + 2:18 Kijito kinachoelekeza maji katika Mto Naili. 1 Nawe kwa nini kwenda Ashuru 2 kunywa maji ya Mto Frati? 1