The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:18

Yeremia 2:18

Sasa kwa nini uende Misri 2 kunywa maji ya Shihori? + 2:18 Kijito kinachoelekeza maji katika Mto Naili. 1 Nawe kwa nini kwenda Ashuru 2 kunywa maji ya Mto Frati? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And now what hast thou to do in the way of Egypt, to drink the waters of Sihor? or what hast thou to do in the way of Assyria, to drink the waters of the river?

In Context

17Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe 2 kwa kumwacha Bwana, Mungu wako 2 alipowaongoza njiani? 1

19Uovu wako utakuadhibu; 2 kurudi nyuma kwako kutakukemea. 1 Basi kumbuka, utambue 2 jinsi lilivyo ovu na chungu kwako 1 unapomwacha Bwana Mungu wako 2 na kutokuwa na hofu yangu,” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Joshua 13:3kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi);

2 Chronicles 28:16Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.

Isaiah 23:3Kwenye maji makuu 2 nafaka za Shihori zilikuja; 1 mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, 2 naye akawa soko la mataifa. 1

Isaiah 30:2wale washukao kwenda Misri 2 bila kutaka shauri langu, 1 wanaotafuta msaada wa ulinzi wa Farao, 2 watafutao kivuli cha Misri kwa ajili ya kimbilio. 1

Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1

Jeremiah 37:5Jeshi la Farao lilikuwa limetoka Misri, nao Wakaldayo waliokuwa wameuzunguka Yerusalemu kwa majeshi waliposikia taarifa kuhusu jeshi hilo walijiondoa Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:17Yeremia 2Yeremia 2:19 →