The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 28 › 2 Chronicles 28:20

2 Chronicles 28:20

Hivyo Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru akaja kumtesa badala ya kumsaidia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Tilgath-pilneser king of Assyria came unto him, and distressed him, but strengthened him not.

In Context

19Bwana aliishusha Yuda kwa sababu ya Ahazi mfalme wa Israeli, kwa kuwa alikuwa ameongeza uovu katika Yuda na kumkosea Bwana mno.

21Ahazi akachukua baadhi ya vitu kutoka Hekalu la Bwana, jumba la kifalme na kutoka kwa wakuu wake na kumpa mfalme wa Ashuru kama ushuru, lakini hilo halikumsaidia.

Read all of 2 Chronicles 28

Cross References

2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.

2 Kings 17:5Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuizunguka kwa majeshi miaka mitatu.

Isaiah 7:20Katika siku ile Bwana atatumia wembe ulioajiriwa kutoka ngʼambo ya Mto, + 7:20 Yaani Frati. yaani mfalme wa Ashuru, kunyoa nywele za kichwa chako na malaika ya miguu yako, na kuziondoa ndevu zako pia.

Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1

Hosea 5:13“Wakati Efraimu alipoona ugonjwa wake, 2 naye Yuda vidonda vyake, 1 ndipo Efraimu alipogeukia Ashuru, 2 na kuomba msaada kwa mfalme mkuu. 1 Lakini hawezi kukuponya, 2 wala hawezi kukuponya vidonda vyako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 28:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 28:192 Chronicles 282 Chronicles 28:21 →