The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 28 › 2 Chronicles 28:21

2 Chronicles 28:21

Ahazi akachukua baadhi ya vitu kutoka Hekalu la Bwana, jumba la kifalme na kutoka kwa wakuu wake na kumpa mfalme wa Ashuru kama ushuru, lakini hilo halikumsaidia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For Ahaz took away a portion out of the house of the LORD, and out of the house of the king, and of the princes, and gave it unto the king of Assyria: but he helped him not.

In Context

20Hivyo Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru akaja kumtesa badala ya kumsaidia.

22Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.

Read all of 2 Chronicles 28

Cross References

2 Kings 18:15Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la Bwana na katika hazina ya jumba la mfalme.

2 Chronicles 16:2Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka hazina ya Hekalu la Bwana na kutoka jumba lake mwenyewe la kifalme na kumpelekea Ben-Hadadi mfalme wa Aramu, ambaye alikuwa anatawala huko Dameski.

Proverbs 25:19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, 2 ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 1

Hosea 5:13“Wakati Efraimu alipoona ugonjwa wake, 2 naye Yuda vidonda vyake, 1 ndipo Efraimu alipogeukia Ashuru, 2 na kuomba msaada kwa mfalme mkuu. 1 Lakini hawezi kukuponya, 2 wala hawezi kukuponya vidonda vyako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 28:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 28:202 Chronicles 282 Chronicles 28:22 →