2 Chronicles 28:23
Akatoa kafara kwa miungu ya Dameski, waliokuwa wamemshinda, kwa kuwa aliwaza, “Kwa kuwa miungu ya mfalme wa Aramu imewasaidia wao, nitaitolea dhabihu ili inisaidie na mimi.” Lakini haya ndiyo yaliyokuwa maangamizi yake na Israeli wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.
Cross References
2 Chronicles 25:14Amazia aliporudi kutoka kuwachinja Waedomu, alileta pia kutoka huko miungu ya watu wa Seiri. Akaisimamisha kama miungu yake mwenyewe, akaisujudia na kuitolea kafara za kuteketezwa.
Isaiah 45:20“Kusanyikeni pamoja mje, 2 enyi wakimbizi kutoka mataifa. 1 Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, 2 wale waombao miungu isiyoweza kuokoa. 1
Jeremiah 10:5Sanamu zao ni kama sanamu 2 iliyowekwa shambani la matango kutishia ndege 2 nazo haziwezi kuongea; 1 sharti zibebwe 2 sababu haziwezi kutembea. 1 Usiziogope; haziwezi kudhuru, 2 wala kutenda lolote jema.” 1
Jeremiah 44:20Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake waliokuwa wakimjibu,
Hosea 13:9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1