2 Nyakati 25:14
Amazia aliporudi kutoka kuwachinja Waedomu, alileta pia kutoka huko miungu ya watu wa Seiri. Akaisimamisha kama miungu yake mwenyewe, akaisujudia na kuitolea kafara za kuteketezwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:3Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Deuteronomy 7:5Hili ndilo utakalowafanyia: Vunja madhabahu yao, vunja mawe yao ya kuabudia, katakata nguzo zao za Ashera na kuchoma sanamu zao kwa moto.
2 Samuel 5:21Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
2 Chronicles 28:23Akatoa kafara kwa miungu ya Dameski, waliokuwa wamemshinda, kwa kuwa aliwaza, “Kwa kuwa miungu ya mfalme wa Aramu imewasaidia wao, nitaitolea dhabihu ili inisaidie na mimi.” Lakini haya ndiyo yaliyokuwa maangamizi yake na Israeli wote.
Amos 2:4Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Yuda, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu wameikataa sheria ya Bwana 2 na hawakuzishika amri zake, 1 kwa sababu wamepotoshwa na miungu ya uongo, 2 miungu ambayo babu zao waliifuata. 1