2 Chronicles 29:26
Hivyo Walawi wakasimama tayari wakiwa na ala za uimbaji za Daudi na makuhani walikuwa na tarumbeta zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the Levites stood with the instruments of David, and the priests with the trumpets.
In Context
Cross References
Numbers 10:10Pia nyakati za furaha yenu, yaani sikukuu zenu zilizoamriwa na sikukuu za Mwezi Mwandamo, mtapiga tarumbeta juu ya sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka zenu za amani, nazo zitakuwa ukumbusho kwa ajili yenu mbele za Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.” 1 Waisraeli Waondoka Sinai
1 Chronicles 15:24Shebania, Yoshafati, Nethaneli, Amasai, Zekaria, Benaya na Eliezeri, makuhani, walikuwa wapiga tarumbeta mbele ya Sanduku la Mungu. Obed-Edomu na Yehiya waliwekwa pia kuwa mabawabu wa Sanduku.
1 Chronicles 23:5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”
Psalms 81:3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume 2 wakati wa Mwandamo wa Mwezi, 1 na wakati wa mwezi mpevu, 2 katika siku ya Sikukuu yetu; 1
Psalms 98:5mwimbieni Bwana kwa kinubi, 2 kwa kinubi na sauti za kuimba, 1
Isaiah 38:20Bwana ataniokoa, 2 nasi tutaimba kwa vyombo vya nyuzi 1 siku zote za maisha yetu 2 katika Hekalu la Bwana.