2 Nyakati 31:15
Edeni, Miniamini, Yeshua, Shemaya, Amaria na Shekania walimsaidia kwa uaminifu katika miji ya makuhani, wakiwagawia makuhani wenzao kufuatana na migawanyo yao, wazee kwa vijana sawasawa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 6:54Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia): 1
1 Chronicles 24:31Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.
2 Chronicles 29:12Ndipo Walawi wafuatao wakaanza kazi: 1 Kutoka kwa Wakohathi, 2 Mahathi mwana wa Amasai na Yoeli mwana wa Azaria; 1 kutoka kwa Wamerari, 2 Kishi mwana wa Abdi na Azaria mwana wa Yahaleleli; 1 kutoka kwa Wagershoni, 2 Yoa mwana wa Zima na Edeni mwana wa Yoa; 1