bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 32 › 2 Chronicles 32:14
2 Chronicles 32:14
Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya mataifa haya ambayo baba zangu waliyaangamiza ameweza kuwaokoa watu wake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi Mungu wenu kuwaokoa mkononi mwangu?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who was there among all the gods of those nations that my fathers utterly destroyed, that could deliver his people out of mine hand, that your God should be able to deliver you out of mine hand?
In Context
13“Je, hamjui yale mimi na baba zangu tuliyoyafanya kwa mataifa yote ya nchi zingine? Je, miungu ya mataifa hayo iliweza kuokoa nchi zao kutoka mkononi mwangu?
15Sasa basi, msikubali Hezekia awadanganye na kuwapotosha namna hii. Msimwamini, kwa kuwa hakuna mungu wa taifa lolote wala wa ufalme wowote aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mkononi mwangu au mkononi mwa baba zangu. Sembuse huyo mungu wenu atawaokoaje kutoka mkononi mwangu!”
Read all of 2 Chronicles 32
Cross References
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Isaiah 10:11je, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zake 2 kama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ”
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 32:14