2 Chronicles 32:13
“Je, hamjui yale mimi na baba zangu tuliyoyafanya kwa mataifa yote ya nchi zingine? Je, miungu ya mataifa hayo iliweza kuokoa nchi zao kutoka mkononi mwangu?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 17:5Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuizunguka kwa majeshi miaka mitatu.
2 Kings 19:11Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?
2 Chronicles 32:19Wakanena juu ya Mungu wa Yerusalemu kama vile walivyonena juu ya miungu ya mataifa mengine ya dunia ambayo ni kazi ya mikono ya wanadamu.
Isaiah 10:9Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi? 2 Hamathi si kama Arpadi, 2 nayo Samaria si kama Dameski? 1
Isaiah 10:14Kama mtu atiavyo mkono kwenye kiota, 2 ndivyo mkono wangu ulivyochukua utajiri wa mataifa; 1 kama watu wakusanyavyo mayai yaliyoachwa, 2 ndivyo nilivyokusanya nchi zote; 1 wala hakuna hata mmoja aliyepiga bawa 2 au kufungua kinywa chake kutoa mlio.’ ” 1
Isaiah 37:18“Ni kweli, Ee Bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.