Kutoka 15:9
“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, 2 bahari ikawafunika. 1 Wakazama kama risasi 2 kwenye maji makuu. 1
Cross References
Exodus 14:5Mfalme wa Misri alipoambiwa kuwa Waisraeli wamekimbia, Farao na maafisa wake wakabadili nia zao kuhusu Waisraeli, wakasema, “Tumefanya nini? Tumewaachia Waisraeli waende zao na tumeukosa utumishi wao!”
Judges 5:30‘Je, hawapati na kugawanya nyara: 2 msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, 2 mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, 2 mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, 2 mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: 1 yote haya yakiwa nyara?’ 1
1 Kings 20:10Kisha Ben-Hadadi akatuma ujumbe mwingine kwa Ahabu, kusema “Miungu iniletee maafa, tena makubwa zaidi, ikiwa vumbi la Samaria litatosheleza konzi moja ya kila mtu ya wale wafuatanao nami.”
Isaiah 36:20Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi Bwana aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Habakkuk 3:14Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake 2 wakati mashujaa wake walifurika nje kwa kishindo kututawanya, 1 wakifurahi kama walio karibu kutafuna 2 wale wanyonge waliokuwa mafichoni. 1