2 Chronicles 33:1
Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na mitano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 3:13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, 2 mwanawe huyo alikuwa Hezekia, 2 mwanawe huyo alikuwa Manase, 2
2 Chronicles 34:1Yosia alikuwa na miaka minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka thelathini na mmoja.
Isaiah 3:4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1
Matthew 1:10Hezekia akamzaa Manase, 2 Manase akamzaa Amoni, 2 Amoni akamzaa Yosia, 2