The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 36 › 2 Chronicles 36:8

2 Chronicles 36:8

Matukio mengine ya utawala wa Yehoyakimu, machukizo aliyoyafanya na yote yaliyoonekana dhidi yake, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Yehoyakini Mfalme Wa Yuda (2 Wafalme 24:8-17)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now the rest of the acts of Jehoiakim, and his abominations which he did, and that which was found in him, behold, they are written in the book of the kings of Israel and Judah: and Jehoiachin his son reigned in his stead.

In Context

7Nebukadneza akachukua pia vyombo kutoka Hekalu la Bwana na kuviweka katika hekalu lake + 36:7 Au: katika jumba lake la kifalme. huko Babeli.

9Yehoyakini alikuwa na miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu na siku kumi. Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana.

Read all of 2 Chronicles 36

Cross References

1 Chronicles 3:16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: 2 Yekonia mwanawe, 2 na Sedekia. 2 Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho 1

Jeremiah 22:24“Hakika kama niishivyo,” asema Bwana, “hata kama wewe, Yekonia + 22:24 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekungʼoa hapo.

Matthew 1:11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 36:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 36:72 Chronicles 362 Chronicles 36:9 →