Kutoka 25:23
“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 25:23 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Cross References
Exodus 31:8meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Exodus 40:22Mose akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia
Numbers 3:31Waliwajibika kutunza Sanduku la Agano, meza, kinara cha taa, madhabahu, na vile vyombo vya mahali patakatifu vinavyotumika kuhudumu, pazia, na kila kitu kinachohusika na matumizi yake.
1 Kings 7:48Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho; 1
1 Chronicles 28:16uzito wa dhahabu kwa ajili ya meza ya mikate iliyowekwa wakfu, uzito wa fedha kwa ajili ya meza ya fedha;
2 Chronicles 4:19Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza za kuweka mikate ya Wonyesho; 1