2 Chronicles 6:39
basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 1
Cross References
Psalms 25:18Uangalie mateso na shida zangu 2 na uniondolee dhambi zangu zote. 1
Psalms 85:3Uliweka kando ghadhabu yako yote 2 na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 1
Micah 7:18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1