The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 6 › 2 Chronicles 6:40

2 Chronicles 6:40

“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now, my God, let, I beseech thee, thine eyes be open, and let thine ears be attent unto the prayer that is made in this place.

In Context

39basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.

41“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu, 2 na uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1 Makuhani wako, Ee Bwana Mungu, 2 na wavikwe wokovu, 1 watakatifu wako na wafurahi 2 katika wema wako. 1

Read all of 2 Chronicles 6

Cross References

1 Kings 8:52“Macho yako na yafumbuke juu ya ombi la mtumishi wako na ombi la watu wako Israeli, nawe uwasikilize wakati wowote wanapokulilia.

2 Chronicles 7:15Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.

Nehemiah 1:6tega masikio yako, na ufungue macho yako, ili usikie maombi ya mtumishi wako anayoomba mbele yako usiku na mchana kwa ajili ya watumishi wako, watu wa Israeli. Ninaungama dhambi zetu sisi Waisraeli, pamoja na zangu na za nyumba ya baba yangu, tulizotenda dhidi yako.

Psalms 7:3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya 2 na kuna hatia mikononi mwangu, 1

Psalms 17:1Sikia, Ee Bwana, kusihi kwangu kwa haki, 2 sikiliza kilio changu. 1 Tega sikio kwa ombi langu, 2 halitoki kwenye midomo ya udanganyifu. 1

Psalms 31:2Nitegee sikio lako, 2 uje uniokoe haraka; 1 uwe kwangu mwamba wa kimbilio, 2 ngome imara ya kuniokoa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 6:40

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 6:392 Chronicles 62 Chronicles 6:41 →