2 Nyakati 6:42
Ee Bwana Mungu, usimkatae 2 mpakwa mafuta wako. 1 Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia 2 Daudi mtumishi wako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O LORD God, turn not away the face of thine anointed: remember the mercies of David thy servant.
In Context
Cross References
1 Kings 2:16Sasa ninalo ombi moja ninalokuomba. Usinikatalie.” Bathsheba akasema, “Waweza kuliomba.”
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1
Psalms 89:28Nitadumisha upendo wangu kwake milele, 2 na agano langu naye litakuwa imara. 1
Psalms 132:10Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, 2 usimkatae mpakwa mafuta wako. 1
Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1