The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 6 › 2 Chronicles 6:41

2 Chronicles 6:41

“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu, 2 na uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1 Makuhani wako, Ee Bwana Mungu, 2 na wavikwe wokovu, 1 watakatifu wako na wafurahi 2 katika wema wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore arise, O LORD God, into thy resting place, thou, and the ark of thy strength: let thy priests, O LORD God, be clothed with salvation, and let thy saints rejoice in goodness.

In Context

40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 1

42Ee Bwana Mungu, usimkatae 2 mpakwa mafuta wako. 1 Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia 2 Daudi mtumishi wako.”

Read all of 2 Chronicles 6

Cross References

Joshua 3:13Mara tu nyayo za makuhani walichukualo Sanduku la Bwana, Bwana wa dunia yote, zitakapokanyaga ndani ya Mto Yordani, maji hayo yatiririkayo kutoka juu yatatindika na kusimama kama chuguu.”

1 Chronicles 28:2Mfalme Daudi akainuka na kusema: “Nisikilizeni ndugu zangu nanyi watu wangu. Nilikuwa na nia ya kujenga nyumba ili iwe mahali pa kukaa Sanduku la Agano la Bwana kwa ajili ya kuwa mahali pa kuwekea miguu ya Mungu wetu, nami nikafanya maandalizi ya kuijenga.

Psalms 65:4Heri wale uliowachagua 2 na kuwaleta karibu ili waishi katika nyua zako! 1 Tunashibishwa kwa mema ya nyumba yako, 2 mema ya Hekalu lako takatifu. 1

Psalms 110:2Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; 2 utatawala katikati ya adui zako. 1

Psalms 132:9Makuhani wako na wavikwe haki, 2 watakatifu wako na waimbe kwa furaha.” 1

Isaiah 59:16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 6:41

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 6:402 Chronicles 62 Chronicles 6:42 →