The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 9 › 2 Chronicles 9:28

2 Chronicles 9:28

Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka nchi nyingine zote. 1 Kifo Cha Solomoni (1 Wafalme 11:41-43)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they brought unto Solomon horses out of Egypt, and out of all lands.

In Context

27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.

29Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati?

Read all of 2 Chronicles 9

Cross References

2 Chronicles 1:16Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. + 1:16 Yaani Kilikia. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.

2 Chronicles 9:25Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 kwa ajili ya farasi na magari ya vita, farasi 12,000 ambao aliwaweka katika miji ya magari ya vita na katika Yerusalemu pamoja naye.

Isaiah 31:1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 9:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 9:272 Chronicles 92 Chronicles 9:29 →