2 Chronicles 9:27
Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 10:27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.
2 Chronicles 1:15Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.
Job 22:24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, 2 dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 1
Isaiah 9:10“Matofali yameanguka chini, 2 lakini tutajenga tena kwa mawe yaliyochongwa, 1 mitini imeangushwa, 2 lakini tutapanda mierezi badala yake.” 1
Luke 19:4Kwa hiyo akatangulia mbio mbele ya umati wa watu akapanda juu ya mkuyu ili amwone Yesu, kwa sababu angeipitia njia ile.