The Bible Software
bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 10 › 2 Wakorintho 10:13

2 Wakorintho 10:13

Lakini sisi hatujajivuna kupita kiasi, bali majivuno yetu yatakuwa katika mipaka ile Mungu aliyotuwekea, mipaka ambayo inawafikia hata ninyi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But we will not boast of things without our measure, but according to the measure of the rule which God hath distributed to us, a measure to reach even unto you.

In Context

12Hatuthubutu kujiweka kwenye kundi moja au kujilinganisha na hao wanaojitukuza wenyewe kuwa wao ni wa maana sana. Wanapojipima na kujilinganisha wenyewe kwa wenyewe, wanaonyesha ya kuwa hawana busara.

14Kwa maana hatukuwa tunavuka mipaka katika kujisifu kwetu, kama vile ambavyo ingekuwa kama hatukuwa tumekuja kwenu. Kwa maana sisi ndio tuliokuwa wa kwanza kuja kwenu na Injili ya Kristo.

Read all of 2 Wakorintho 10

Cross References

Psalms 19:4Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu. 1 Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 2

Isaiah 28:17Nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia 2 na uadilifu kuwa timazi; 1 mvua ya mawe itafagia kimbilio lenu, huo uongo, 2 nayo maji yatafurikia mahali penu pa kujificha. 1

Romans 10:18Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: 1 “Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu.”

Romans 12:6Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani.

1 Corinthians 12:11Haya yote hufanywa na huyo huyo Roho mmoja, Roho naye humgawia kila mtu, kama apendavyo. 1 Mwili Mmoja, Wenye Viungo Vingi

Ephesians 4:7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Wakorintho 10:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Wakorintho 10:122 Wakorintho 102 Wakorintho 10:14 →