The Bible Software
bible.software2 John2 John 1 › 2 John 1:12

2 John 1:12

Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Having many things to write unto you, I would not write with paper and ink: but I trust to come unto you, and speak face to face, that our joy may be full.

In Context

11Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. 1 Salamu Za Mwisho

13Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.

Read all of 2 John 1

Cross References

Numbers 12:8Kwake nitanena naye uso kwa uso, 2 waziwazi wala si kwa mafumbo; 2 yeye ataona umbo la Bwana. 1 Kwa nini basi ninyi hamkuogopa 2 kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?”

John 16:12“Bado ninayo mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.

John 17:13“Lakini sasa naja kwako, nami ninasema mambo haya wakati bado nikiwa ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu kamili ndani yao.

1 Corinthians 16:5Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.

Philemon 1:22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 1 Salamu Za Mwisho Na Dua Ya Kuwatakia Heri

Hebrews 13:23Nataka ninyi mjue kwamba ndugu yetu Timotheo amefunguliwa kutoka gerezani. Akifika mapema, nitakuja pamoja naye kuwaona.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 John 1:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 John 1:112 John 12 John 1:13 →