Philemon 1:22
Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 1 Salamu Za Mwisho Na Dua Ya Kuwatakia Heri
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Nikiwa na hakika ya utii wako, nakuandikia, nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba.
23Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu.
Cross References
Romans 15:24Nimekusudia kufanya hivyo nitakapokuwa njiani kwenda Hispania. Natarajia kuwaona katika safari yangu na kusafirishwa nanyi mpaka huko, baada ya kufurahia ushirika wenu kwa kitambo kidogo.
2 Corinthians 1:11Kama vile mlivyoungana kusaidiana nasi katika maombi, hivyo wengi watatoa shukrani kwa niaba yetu kwa ajili ya baraka za neema tulizopata kwa majibu ya maombi ya wengi. 1 Paulo Aahirisha Ziara
Philippians 1:25Kwa kuwa nina matumaini haya, ninajua kwamba nitaendelea kuwepo na kuwa pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.
Hebrews 13:19Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. 1 Maombi Ya Kuwatakia Baraka
James 5:16Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.
3 John 1:14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.