The Bible Software
bible.software2 Kings2 Kings 19 › 2 Kings 19:21

2 Kings 19:21

Hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

This is the word that the LORD hath spoken concerning him; The virgin the daughter of Zion hath despised thee, and laughed thee to scorn; the daughter of Jerusalem hath shaken her head at thee.

In Context

20Kisha Isaya mwana wa Amozi akapeleka ujumbe kwa Hezekia, akasema: “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Nimesikia maombi yako kuhusu Senakeribu mfalme wa Ashuru.

22Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1

Read all of 2 Kings 19

Cross References

Psalms 9:14ili niweze kutangaza sifa zako 2 katika malango ya Binti Sayuni 2 na huko niushangilie wokovu wako. 1

Psalms 109:25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, 2 wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 1

Isaiah 1:8Binti Sayuni ameachwa kama kipenu 2 katika shamba la mizabibu, 1 kama kibanda katika shamba la matikitimaji, 2 kama mji uliohusuriwa. 1

Isaiah 23:12Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1

Isaiah 47:1“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1

Jeremiah 14:17“Nena nao neno hili: 1 “ ‘Macho yangu na yatiririkwe na machozi 2 usiku na mchana bila kukoma; 1 kwa kuwa binti yangu aliye bikira, yaani watu wangu, 2 amepata jeraha baya, 2 pigo la kuangamiza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Kings 19:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Kings 19:202 Kings 192 Kings 19:22 →