Isaya 23:12
Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:4Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
Genesis 49:13“Zabuloni ataishi pwani ya bahari 2 na kuwa bandari za kuegesha meli; 2 mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. 1
Deuteronomy 28:64Kisha Bwana atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwingine. Huko mtaabudu miungu mingine, miungu ya miti na ya mawe, ambayo ninyi wala baba zenu hamkuijua.
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Isaiah 37:22hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “Bikira binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1
Isaiah 47:5“Keti kimya, ingia gizani, 2 Binti wa Wakaldayo, 2 hutaitwa tena malkia wa falme. 1