Isaiah 47:1
“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 2:8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.
Psalms 18:27Wewe huwaokoa wanyenyekevu, 2 lakini huwashusha wenye kiburi. 1
Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1
Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1
Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1
Isaiah 14:14Nitapaa juu kupita mawingu, 2 nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 1