2 Kings 21:9
Lakini hawa watu hawakusikiliza. Manase akawapotosha, hivyo kwamba walifanya maovu mengi kuliko mataifa ambayo Bwana aliyaangamiza mbele ya Waisraeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Bwana akasema kupitia watumishi wake manabii:
Cross References
1 Samuel 8:19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.
2 Kings 16:3Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na hata akamtoa mwanawe kafara katika moto, akifuata njia za machukizo za mataifa ambayo Bwana alikuwa ameyafukuza mbele ya Waisraeli.
2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Nehemiah 9:26“Lakini hawakukutii nao wakaasi dhidi yako, wakatupa sheria zako nyuma yao. Wakawaua manabii wako, waliowaonya ili wakurudie, na wakafanya makufuru makubwa.
Psalms 12:8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali 2 wakati ambapo yule aliye mbaya sana 2 ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Proverbs 29:12Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1