The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 29 › Proverbs 29:12

Proverbs 29:12

Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If a ruler hearken to lies, all his servants are wicked.

In Context

11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1

13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: 2 Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 1

Read all of Proverbs 29

Cross References

1 Samuel 18:22Ndipo Sauli akawaagiza watumishi wake, akisema, “Zungumzeni na Daudi kwa siri na kumwambia, ‘Tazama, mfalme amependezwa nawe, nao watumishi wake wote wanakupenda. Basi na uwe mkwewe mfalme.’ ”

1 Samuel 23:19Basi Wazifu wakakwea kwa Sauli huko Gibea na kusema, “Je, Daudi hajifichi miongoni mwetu katika ngome huko Horeshi, katika kilima cha Hakila, kusini mwa Yeshimoni?

2 Samuel 4:5Basi Rekabu na Baana, wana wa Rimoni Mbeerothi wakaenda nyumbani kwa Ish-Boshethi, nao walifika huko wakati alipokuwa kwenye mapumziko yake ya mchana.

2 Kings 10:6Kisha Yehu akawaandikia barua ya pili, akisema, “Ikiwa ninyi mko upande wangu na mtanitii mimi, twaeni vichwa vya wana wa bwana wenu, na mnijie huku Yezreeli kesho wakati kama huu.” Wakati huo wana sabini wa mfalme walikuwa wakiishi pamoja na viongozi wa mji wa Samaria, waliokuwa wakiwalea.

Psalms 101:5Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, 2 huyo nitamnyamazisha; 1 mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi 2 huyo sitamvumilia. 1

Proverbs 25:23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, 2 ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 29:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 29:11Proverbs 29Proverbs 29:13 →