2 Peter 1:5
Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And beside this, giving all diligence, add to your faith virtue; and to virtue knowledge;
In Context
6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa; + 1:6 Maana yake kumcha Mungu.
Cross References
Joshua 7:3Waliporudi kwa Yoshua, wakasema, “Si lazima watu wote waende kupigana na Ai. Watume watu elfu mbili au tatu wakauteke huo mji. Usiwachoshe watu wote, kwa sababu huko kuna watu wachache tu.”
Proverbs 4:23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, 2 maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1
Zechariah 6:15Wale walio mbali sana watakuja na kusaidia kulijenga Hekalu la Bwana, nanyi mtajua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu. Hili litatokea ikiwa mtamtii Bwana Mungu wenu kwa bidii.”
Luke 24:21Lakini tulikuwa tumetegemea kwamba yeye ndiye angelikomboa Israeli. Zaidi ya hayo, leo ni siku ya tatu tangu mambo haya yatokee.
1 Corinthians 14:20Ndugu zangu, msiwe kama watoto katika kufikiri kwenu, afadhali kuhusu uovu mwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri kwenu, mwe watu wazima.
Ephesians 5:17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.