2 Peter 1:7
katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And to godliness brotherly kindness; and to brotherly kindness charity.
In Context
6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa; + 1:6 Maana yake kumcha Mungu.
Cross References
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
1 Corinthians 13:1Hata kama nitasema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa kengele inayolialia au toazi livumalo.
Colossians 3:14Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu.
1 Thessalonians 4:9Sasa kuhusu upendo wa ndugu hamna haja mtu yeyote kuwaandikia, kwa maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.
Hebrews 13:1Endeleeni kupendana kama ndugu.
1 Peter 2:17Mheshimuni kila mtu ipasavyo: Wapendeni jamaa ya ndugu waumini, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.