1 Wathesalonike 4:9
Hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya kuwapenda ndugu zenu waumini. Ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu namna mnavyopaswa kupendana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 22:39Ya pili inafanana na hiyo: Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
John 13:34Nawapeni amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
John 15:12Hii ndiyo amri yangu: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
Romans 12:10Pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.