The Bible Software
bible.software2 Peter2 Peter 3 › 2 Peter 3:5

2 Peter 3:5

Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, ya kwamba kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For this they willingly are ignorant of, that by the word of God the heavens were of old, and the earth standing out of the water and in the water:

In Context

4Watasema, “Iko wapi ile ahadi ya kuja kwake? Tangu baba zetu walipofariki, kila kitu kinaendelea kama kilivyokuwa tangu mwanzo wa kuumbwa.”

6Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.

Read all of 2 Peter 3

Cross References

Genesis 1:6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”

Psalms 24:2maana aliiwekea misingi yake baharini 2 na kuifanya imara juu ya maji. 1

Psalms 136:6Ambaye aliitandaza dunia juu ya maji, Fadhili zake zadumu milele. 1

John 3:19Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.

Colossians 1:17Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja.

Hebrews 11:3Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana. 1 Mfano Wa Abeli, Enoki Na Noa

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Peter 3:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Peter 3:42 Peter 32 Peter 3:6 →