2 Samweli 1:17
Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David lamented with this lamentation over Saul and over Jonathan his son:
In Context
Cross References
Genesis 50:11Wakanaani walioishi huko walipoona maombolezo yaliyofanyika katika sakafu ile ya kupuria ya Atadi, wakasema, “Wamisri wanafanya maombolezo makubwa.” Kwa hiyo mahali pale karibu na Yordani pakaitwa Abel-Mizraimu. + 50:11 Abel-Mizraimu maana yake Maombolezo ya Wamisri.
2 Samuel 3:33Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: 1 “Je, ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? 2
Psalms 35:14niliendelea kuomboleza 2 kama vile wao ni rafiki au ndugu. 1 Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni 2 kama ninayemwombolezea mama yangu. 1