The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:18

2 Samweli 1:18

naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari): 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

(Also he bade them teach the children of Judah the use of the bow: behold, it is written in the book of Jasher.)

In Context

17Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,

19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. 2 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 1

Read all of 2 Samweli 1

Cross References

Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1

Joshua 10:13Hivyo jua likasimama, 2 nao mwezi ukatulia, 1 hadi taifa hilo lilipokwisha 2 kujilipizia kisasi kwa adui wake, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Yashari. Jua likasimama kimya katikati ya mbingu, likachelewa kuzama muda wa siku moja nzima.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 1:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 1:172 Samweli 12 Samweli 1:19 →