The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:20

2 Samweli 1:20

“Msilisimulie hili katika Gathi, 2 msilitangaze hili katika 2 barabara za Ashkeloni, 1 binti za Wafilisti wasije wakafurahia, 2 binti za hao wasiotahiriwa 2 wasije wakashangilia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Tell it not in Gath, publish it not in the streets of Askelon; lest the daughters of the Philistines rejoice, lest the daughters of the uncircumcised triumph.

In Context

19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. 2 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 1

21“Enyi milima ya Gilboa, 2 msipate umande wala mvua, 2 wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. 1 Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, 2 ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta. 1

Read all of 2 Samweli 1

Cross References

Exodus 15:20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.

Judges 11:34Yefta aliporudi nyumbani Mispa, tazama, binti yake akatoka ili kumlaki kwa matari na kucheza. Alikuwa ndiye mtoto pekee, hakuwa na mwana wala binti mwingine.

Judges 16:23Basi viongozi wa Wafilisti wakakusanyika pamoja ili kutoa kafara kwa mungu wao Dagoni na kufanya karamu, wakisema, “Mungu wetu amemtia adui yetu Samsoni mikononi mwetu.”

1 Samuel 17:26Daudi akauliza watu waliokuwa wamesimama karibu naye, “Je, atafanyiwa nini mtu atakayemuua huyu Mfilisti na kuondoa aibu hii katika Israeli? Ni nani huyu Mfilisti asiyetahiriwa hata atukane majeshi ya Mungu aliye hai?”

1 Samuel 18:6Watu walipokuwa wanarudi nyumbani baada ya Daudi kumuua yule Mfilisti, wanawake wakaja kutoka pande zote za miji ya Israeli kumlaki Mfalme Sauli kwa kuimba na kucheza, kwa nyimbo za furaha na kwa matari na zeze.

1 Samuel 31:8Kesho yake Wafilisti walipokuja kuwavua maiti silaha, walimkuta Sauli na wanawe watatu wameanguka katika Mlima Gilboa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 1:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 1:192 Samweli 12 Samweli 1:21 →