2 Samweli 1:19
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. 2 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The beauty of Israel is slain upon thy high places: how are the mighty fallen!
In Context
Cross References
1 Samuel 31:8Kesho yake Wafilisti walipokuja kuwavua maiti silaha, walimkuta Sauli na wanawe watatu wameanguka katika Mlima Gilboa.
2 Samuel 1:25“Tazama jinsi mashujaa 2 walivyoanguka vitani! 1 Yonathani ameuawa 2 mahali pako palipoinuka. 1
Isaiah 4:2Katika siku ile Tawi la Bwana litakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika.
Lamentations 2:1Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni 2 kwa wingu la hasira yake! 1 Ameitupa chini fahari ya Israeli 2 kutoka mbinguni mpaka duniani, 1 hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu 2 katika siku ya hasira yake. 1
Zechariah 11:7Kwa hiyo nikalilisha kundi lililotiwa alama kwa kuchinjwa, hasa kundi lililoonewa sana. Kisha nikachukua fimbo mbili, moja nikaiita Fadhili na nyingine Umoja, nami nikalilisha kundi.