2 Samweli 1:27
“Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka! 2 Silaha za vita zimeangamia!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How are the mighty fallen, and the weapons of war perished!
In Context
Cross References
2 Samuel 1:25“Tazama jinsi mashujaa 2 walivyoanguka vitani! 1 Yonathani ameuawa 2 mahali pako palipoinuka. 1
2 Kings 13:14Wakati huu, Elisha alikuwa anaumwa na ugonjwa ambao baadaye ulimuua. Yehoashi mfalme wa Israeli akashuka kwenda kumwona na kumlilia. Akalia, “Baba yangu! Baba yangu! Magari ya vita ya Israeli na wapanda farasi wake!”
Ezekiel 39:9“ ‘Ndipo wale wanaoishi katika miji ya Israeli watakapotoka na kutumia hizo silaha kuwashia moto na kuziteketeza, yaani, kigao na ngao, pinde na mishale, rungu za vita na mikuki. Kwa miaka saba watavitumia kama kuni.