bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:25
2 Samweli 1:25
“Tazama jinsi mashujaa 2 walivyoanguka vitani! 1 Yonathani ameuawa 2 mahali pako palipoinuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How are the mighty fallen in the midst of the battle! O Jonathan, thou wast slain in thine high places.
In Context
24“Enyi binti za Israeli, 2 lieni kwa ajili ya Sauli, 1 ambaye aliwavika nguo 2 nyekundu na maridadi, 1 ambaye aliremba mavazi yenu 2 kwa mapambo ya dhahabu. 1
26Nahuzunika kwa ajili yako, 2 Yonathani ndugu yangu, 2 kwangu ulikuwa mpendwa sana. 1 Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, 2 wa ajabu zaidi kuliko ule wa wanawake. 1
Read all of 2 Samweli 1
Cross References
Judges 5:18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
2 Samuel 1:19“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. 2 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! 1
Lamentations 5:16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. 2 Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 1:25