The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 12 › 2 Samweli 12:23

2 Samweli 12:23

Lakini sasa kwa kuwa amekufa, kwa nini nifunge? Je, naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake, lakini yeye hatanirudia mimi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But now he is dead, wherefore should I fast? can I bring him back again? I shall go to him, but he shall not return to me.

In Context

22Akajibu, “Wakati mtoto alipokuwa bado yungali hai, nilifunga na kulia. Nilifikiri, ‘Nani ajuaye? Bwana aweza kunirehemu ili kumwacha mtoto aishi.’

24Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

Read all of 2 Samweli 12

Cross References

1 Kings 2:2Akasema, “Mimi ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jionyeshe kuwa mwanaume,

Job 7:10Kamwe harudi tena nyumbani mwake; 2 wala mahali pake hapatamjua tena. 1

Luke 23:43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” + 23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu. 1 Kifo Cha Yesu (Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 12:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 12:222 Samweli 122 Samweli 12:24 →