The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 23 › Luke 23:43

Luke 23:43

Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” + 23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu. 1 Kifo Cha Yesu (Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jesus said unto him, Verily I say unto thee, To day shalt thou be with me in paradise.

In Context

42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”

44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,

Read all of Luke 23

Cross References

Psalms 32:5Kisha nilikujulisha dhambi yangu 2 wala sikuficha uovu wangu. 1 Nilisema, “Nitaungama 2 makosa yangu kwa Bwana.” 1 Ndipo uliponisamehe 2 hatia ya dhambi yangu. 1

Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1

Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1

Micah 7:18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1

Luke 15:4“Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate?

Luke 19:10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.” 1 Mfano Wa Fedha (Mathayo 25:14-30)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 23:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 23:42Luke 23Luke 23:44 →