The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 7 › Ayubu 7:10

Ayubu 7:10

Kamwe harudi tena nyumbani mwake; 2 wala mahali pake hapatamjua tena. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall return no more to his house, neither shall his place know him any more.

In Context

9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, 2 vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini + 7:9 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. harudi tena. 1

11“Kwa hiyo sitanyamaza; 2 nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, 2 nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 1

Read all of Ayubu 7

Cross References

2 Samuel 12:23Lakini sasa kwa kuwa amekufa, kwa nini nifunge? Je, naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake, lakini yeye hatanirudia mimi.”

Job 20:9Jicho lililomwona halitamwona tena; 2 mahali pake hapatamwona tena. 1

Job 27:23Upepo humpigia makofi kwa dharau, 2 na kumfukuza atoke mahali pake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 7:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 7:9Ayubu 7Ayubu 7:11 →