Amosi 5:19
Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba 2 kumbe akakutana na dubu, 1 kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwake 2 na kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta, 2 kumbe akaumwa na nyoka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Je, siku ya Bwana haitakuwa giza, na si nuru: 2 giza nene, bila mwonzi wa mwanga? 1
Cross References
1 Kings 20:29Kwa siku saba walipiga kambi wakitazamana na siku ya saba vita vikaanza. Waisraeli wakawajeruhi askari wa miguu wa Waaramu 100,000 kwa siku moja.
Ecclesiastes 10:8Yeye achimbaye shimo 2 aweza kutumbukia ndani yake, 1 yeyote abomoaye ukuta 2 anaweza kuumwa na nyoka. 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Isaiah 24:18Kila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu 2 atatumbukia shimoni, 1 naye yeyote apandaye kutoka shimoni, 2 atanaswa kwenye mtego. 1 Malango ya gharika ya mbinguni yamefunguliwa, 2 misingi ya dunia inatikisika. 1
Jeremiah 48:43Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, 2 enyi watu wa Moabu,” 4 asema Bwana. 1
Acts 28:4Wale wenyeji wa kile kisiwa walipomwona yule nyoka akiningʼinia mkononi mwa Paulo, wakaambiana, “Huyu mtu lazima awe ni muuaji, ingawa ameokoka kutoka baharini, haki haijamwacha aishi.”